KUTENGENEZA MAISHA YAKO. >Usimsahau Mama, >Usimdharau Mama, >Daima mpende Mama na umtunze sana Mama >Mvumilie sana kwa mapungufu yote yale utakayoyaona kwake kwan hakuna mkamilifu duniani% >Kumbuka MIEZI 9 ulikaa ndani ya tumbo lake, >MIAKA 2 au zaid ulikunywa kilicho kifuani mwake%!. >Kitanda chako kilikua miguu yake, >Bembea yako ilikua mgongo wake, na mikojo kwa kadri ulivyo jisikia. >Alikubali kuumia ili wewe upate kukua, kila siku uamkapo na ulalapo muombee mama.
Alhamisi, 10 Aprili 2014
MA LOVELY
TOP 5 LOVELY.
First.
>>Nampenda Mwanaume Imara mwenye Upendo dhabiti ambaye aliutoa Uhai wake kwa ajili yangu ambaye ni YESU!
Second.
>>Nampenda Mama yangu aliyevumilia Matatizo yote niliyomsababishia. Ananipa mahitaji yote hasa elimu pasipo kinyongo. I LUV SELEBIA Mwaaaa. Mungu ampe maisha marefu mama yangu.
Third-
>>I love My Family. Nawapenda wanafamilia wangu. Mungu atuzidishie Upendo zaidi.
FORTH
>>I love My Girlfriends and My Guyz, Wanaonirekebisha nikoseapo na kunishauri na wale wasemapo pale ninapowakosea na Wananikumbuka. I mean my Best FRIENDS. Who I share ideas with them.
FIFTH
I love My Self and My duties.
LORD BLESS ALL MY BEST LOVELY
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni