KUTENGENEZA MAISHA YAKO. >Usimsahau Mama, >Usimdharau Mama, >Daima mpende Mama na umtunze sana Mama >Mvumilie sana kwa mapungufu yote yale utakayoyaona kwake kwan hakuna mkamilifu duniani% >Kumbuka MIEZI 9 ulikaa ndani ya tumbo lake, >MIAKA 2 au zaid ulikunywa kilicho kifuani mwake%!. >Kitanda chako kilikua miguu yake, >Bembea yako ilikua mgongo wake, na mikojo kwa kadri ulivyo jisikia. >Alikubali kuumia ili wewe upate kukua, kila siku uamkapo na ulalapo muombee mama.
Alhamisi, 10 Aprili 2014
YESU AKIWA MSALABANI
MANENO SABA AMBAYO YESU ALIYATAMKA AKIWA MSALABANI NI:
1.Baba wasamehe hawa kwa kuwa hawajui walitendao.
2. Mama mtazame mwanao na mwana mtazame mamako.
3.Msinililie mimi jililieni ninyi na watoto wenu.
4.Eloi Eloi lama sabakthani. (mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha?).
5. Naona kiu.
6. Hakika wewe utakuwa nami leo hii peponi.
7. Mikononi mwako baba naiweka roho yangu, imekwisha. Hapo akakata roho. Ukijaaliwa kupata vocha Wakumbushe wakristo woteeeee.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni